Habari

Habari na taarifa za hivi karibuni kutoka Tanzania Archery Federation.

Habari 09 Aug 2026

Rais wa SHUKUMITA na Kocha Perera Watembelea Hifadhi ya Taifa Saadani

Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Kulusha Mishale Tanzania (TAF), pamoja na Kocha wa World Archery Bwana Perera kutoka Sri Lanka, walitembelea Hifadhi ya Taifa Saadani wakiwa katika ziara yao Tanzania. Ziara hii ilitoa fursa ya kuona urithi wa asili wa nchi sambamba na shughuli za maendeleo ya mchezo wa kulusha mishale zinazoendelea nchini.